PICHA: PATA KULIONA TOLEO JIPYA LA "RANGE ROVER -MODEL- AUTOBIOGRAPHY' ITAKAYOZINDULIWA RASMI [NOVEMBER] INABEI ZAIDI YA MIL 350 ZA KITANZANIA

Kampuni ya Jaguar Land Rover ya Uingereza inatarajia kuzindua toleo jipya la gari ya kifahari‘Range Rover Autobiography’ inayosemekana kuwa ndio ya gharama kubwa zaidi kwa kampuni hiyo kuwahi kutengeneza, ambayo ni £140,000 sawa na zaidi ya shilingi mil 350.









Range Rover Autography inatarajiwa kuzinduliwa November 5 mwaka huu katika maonesho ya kimataifa ya ‘Dubai Motor Show’.

Wameongeza:  viti vya kisasa vyenye muonekano wa vile vya daraja la kwanza la kwenye ndege, vyote vikiwa na TV kwa nyuma.

Previous Post Next Post

Popular Items