Fashion Poll : Kim Kardashian na Jennifer Hudson Nani Aliyependeza Zaidi.


Unapoongelea Fashion na Style Kila mtu Upendelea kivyake na hii utokana na vitu vingi ikiwemo mwili,uefu,umbo n.k,  Kwa wale wapendao Fashion Utakuta wanakuwa na Mafashionst wao kabisa amabao wako ready kwa ajili ya kujua "Boss" wake anavaa nini na kwa wakati gani na je itampendeza?

Haya ni maswali amabayo mafashionst(Designers)  wengi ujiuliza na majibu wayapatayo uyafanyia kazi kwa umakin na ustadi wa khali ya juu.

Hivi karibuni mjini Los Angeles Kulikuwa na Party amabayo iliwashirikisha mastaa kibao ila katika mastaa ambao walitia fora ni Kim Kardashian na Jennifer Hudson " Kim Kardashian staa wa Reality Show"  na " Jennifer Hudson Staa wa Muziki" kwani Mastaa Hao walijukta wamevaa nguo ya aina moja yaani ikiwa na rangi moja,style moja...tukio hilo liliwafanya watu wengi kuwa suprised na kile kilichotokea.

Icheki picha hap chini then maoni yako yatafuata




 

Kutokana na tukio ilo tumekuletea picha amabayo inaonyesha jinsi Kim Kardashian na Jennifer Hudson walivyotinga nguo moja inayofanana kila kitu na wewe mdau wa Bongo61 Utuambie Ingawa walivaa nguo zilizofanana ni nani aliyependeza kushinda mwenzake na pengine unafikiria ni kwa nini wakati wote walivalia vazi moja..





Previous Post Next Post