DIAMOND ATHIBITISHA KWAMBA AWEZI KUWASAHAU WATU WALIOCHANGIA MAFANIKIO YAKE


Hit Maker wa My Number 1 Diamond Plutnumz amefunguka Jana Kupitia Instagram kwa Kuweka Picha Hii ambayo chini yake alifunguka maneno amabayo wakina dada wengi wa Kitanzania inabidi wajifunze kupitia video quuen wa Video ya Kwanza iliyomtoa Diamond "NENDA KAMWAMBIE"



Diamond aliandika message hii hapa chini kwa Video Quuen wake wa Video yaje ya Kwanza Iliyomtoa

"Kitu ambacho siku zote siwezi kukisahau katika harakati na siku za Maisha yangu ni jinsi dada
wa kwanza nilivyomfata na kumuomba kushoot video na mimi akasema "Siwezi kushoot Video na Ma undergeound" Dah! Iliniuma saaana...

 Lakini wewe kwa moyo mmoja bila maringo uliamua kunisaidia na kukubali kushoot video na mimi na hatimaye ikaniweka kwenye Ramani... dah! siku zote huwa
nakushkuru na kukuombea sana kwa mwenyezi mungu kwani naamini wewe ni mmoja ya watu waliofanya hadi mimi kufika hapa... 

MyVideo Queen Nenda Kamwambie #BestSongofTheYear2009 BestRnBSongof TheYear2009"


Hizi ni Baadhi ya Comment Zilizotolewa na Fans wa Diamond Kuhusiana na Picha hiyo hapo juu aliyopost Kupitia Instagram

teamladyjaydeeI love her sana n she's cute
salvatorymkuweleSafi sana my brother
cweetvaliantyHaya tumumuombe
farrielovDas gd
riyamaallyWow!fadhila ndo kila kitu...big up kakalake...
abdyhenrydt gud
mamuu04Wow! ni mtamuuu
chaguele07Watuache tulale cc the PreZidar
francelyno100 raisi wa masharo
bongo_memesHahah GUYS Follow @bongo_memes for more funny memes!!! :) @bongo_memes@bongo_memes
nyanjige33Nimependa
mtitimajrHuyo aliekataaaa nataman kumjua
gibsongeorgeMuch luv kwa huyo sister hapo juu... alieleta nyodo muanike tumjue....
salmaomary91Mpe ndege uyooo
atwiser1Ha ha ha ha au na yeye unamnyatia maana
mateianordUwe nae kabxa huyo utashut mpaka kamer ztakuzoea..
jumamlawaoya shemej mzur san
hoseaplatnumdaaaah gud kwake katisha video queen wetu
chichachedakamwambieeeeeeee
Previous Post Next Post

Popular Items