Picha hapo chini inamuonyesha Diamond Akiwa yuko vodacom Katika mtililiko wa kuchati na fans wake
Diamond alitupia picha hii instagram na kuandika "Ryt naw at @Vodacomtanzania house chattin na Watu wangu wa nguvu live kwenye Vodacom facebook fan page... njoo sasa tutie Umbea lol! :

