Diamond aingia mkataba mnono wa RBT na Vodacom,



Baada ya Number 1 Kufikisha views 188,000 kwa wiki, Mungu ampe nini zaidi .Na linapokuja swala la mziki unalipa ni kweli unalipa kama ukijua mashabiki wako wanataka nini ndivyo anavyofanya SUPER STAR DIAMOND na ndio sababu kuu ya Mafanikio yake.


Pichani ni Diamond akisaini mkataba na Vodacom leo

Leo superstar huyo ameingia mkataba mnono na exclusive na kampuni ya simu ya Vodacom, ambapo wimbo wake ‘Number 1’ utakuwa ukiuzwa na kampuni hiyo pekee kama muito wa simu, Ring Back Tone (RBT).

Wakati huo huo video ya wimbo huo leo imefikisha idadi ya zaidi ya hits 188,000 kwenye mtandao wa Youtube.
Previous Post Next Post

Popular Items