Lil Wayne aurudia mstari wa wimbo wa Tupac ‘Troublesome’



Hayati 2 Pac alikuwa anakijua Kiswahili na ndio maana kwenye wimbo wake Troublesome alisikika akisema, ‘Westside was the war cry bustin off freely Screamin, “F** – ALL Y’ALL NIGGAZ” in Swahili’.
Lil Wayne anakijua pia Kiswahili na ndio maana kwenye wimbo wake F** With Me You Know I Got It aliomshirikisha T.I. (ni wimbo original wa Jay Z kwenye albam yake MCHG) uliopo kwenye mixtape yake mpya, Dedication 5 ameutumia pia mstari huo.




Previous Post Next Post