Picha: Swahili Radio ya Washington DC kuanza kusikika hewani hivi karibuni




Swahili Radio, ni radio iliyoanzishwa jijini Washington DC, Marekani na kampuni ya, MMK Media Group.


Alex Kussuwi akiwa studio kuangalia hatua radio ilipofikia


Alex na Dickson Mkama

Radio hiyo pamoja na TV zote za online bado zipo kwenye majaribio na zitaenda hewani muda wa majaribio utakapomalizika.
MMK Media Group inamilikiwa na Alex Kassuwi, Augustino Malinda na Dickson Mkama DMK.

















Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA