Picha: PICHA ZA BEHIND THE SCENE YA VIDEO MPYA YA T.I.D -RAHA





Raha ndio nyimbo mpya toka kwa C.E.O wa Radar Entertainment TID katika kukuletea wewe muzikimzuri sasa ameamua kuingia mzigoni kukufanyia kichupa
 cha nyimbo hiyo yenye maadhi ya kimahaba zaidi,Stay tuned kukiona kwenye Luninga yako video ikiwa imesimamiwa na Fine Image Production.

Cheki picha kadhaa kwenye ufanyaji wa video hii....






Mnyama mbele ya camera....





Ufukweni mzee Mnyama na Bebez....


Previous Post Next Post