Lady Jaydee, Amini na Barnaba (Gemini) kuusindikiza uzinduzi wa movie ya Lulu ‘Foolish Age’

Lady Jaydee na Machozi Band pamoja na wasanii wa kundi la Gemini, Amini na Barnaba wanatarajia kutumbuiza kwenye uzinduzi wa filamu mpya ya Elizabeth ‘Lulu’ Michael iitwayo Foolish Age.
BSKx8aZCMAEHOSL.jpg large
Uzinduzi huo utafanyika Ijumaa ya August 30 kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa