KIM KARDASHIAN AMEKATAA MTOTO WAKE “NORTH WEST” ASIPIGWE PICHA KWA KIASI CHA $ 3 MILLION






Kim Kardashian has turned down a $3 million offer for the first picture of daughter North West. Watu wengi wameshangazwa baada ya Kim Kardashiam kuchomoa mtoto wake North West asipigwe picha ya kwanza kwa kiasi cha $ 3Million.
Kanye na Kim walisema hawataki picha za mtoto wao North West zisambae kwenye mitandao. Wachumba hawa wanaonekana wanafata nyao za Jay Z na mchumba wake Beyonce.
Kim Kardashian anamipango ya kutengeneza nguo za watoto baada ya designer wake Lloyd Klein kumwambia biashara hiyo itampa faida nzuri.
Previous Post Next Post

Popular Items