iPhone mpya itaitwa iPhone 5S, Apple watatoa pia yenye gharama nafuu, iPhone 5C





Website ya Japan imedai kuwa toleo jipya baada ya iPhone 5 litaitwa iPhone 5S, na kwamba Apple wataingiza sokoni iPhone yenye bei nafuu, e iPhone 5C.


Website hiyo iitwayo Macotakara imesema kuwa vyanzo vyake vimethibitisha majina ya simu hizo. iPhone 5C itakuja na rangi mbalimbali na sio nyeusi ama nyeupe tu.

Apple inatarajiwa kuzindua simu mpya za iPhone September 10.
Previous Post Next Post

Popular Items