Leo tumeweza kupata sehemu ya kipengele cha mkataba wa filamu toka kampuni moja ya usambazaji Filamu nchini amabcho kinaochesha dhahiri ni jinsi gani wasanii wa Filamu nchini wanavyokandamizwa katika mikataba hiyo
Kipengele hicho kinasema kuwa msanii anaweza kuvunja mkataba wa Filamu baada ya miaka 50 ya kusaini mkataba. Kitu ambacho ukiangalia hakiwezi kumneemesha Msanii yoyote kwani akishalipwa pesa yake ya Filamu mara moja msambazaji ataendelea kuuza Filamu hiyo kwa kipindi cha miaka hiyo Msanii bila kumgawia Msanii kipato chochote.
Tags:
From Bongo Movies