Rose Ndauka akaunusha kuwa Mjamzito, soma hapa alichosema kuhusu tuhuma hizo



Mwanadada Rose ndauka amekanusha habari zilizoandikwa jana kwenye mitandao mbalimbali nchini kuwa huenda yu mjamzito kutokana na tukio la kuugua ghafla na kupandwa na kichefuchefu alipokuwa location akitengeneza Filamu yake mpya (kama nayoonekana pichani)
Akizungumza na mtandao wa Swahili World Planet, Rose ndauka amesema kuwa habari hizo si za kweli na wala yeye hajaongea jambo kama hilo
 "sio kweli na kilichoandikwa sijakiongea" hata sijui wamepata wapi hizo taarifa. Alinukuliwa akisema Rose ndauka
Previous Post Next Post