Katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa leo, mwanadada Kajala ameandika na kuelezea jinsi ambavyo mtangazaji wa Clouds FM b dozen ama B12 alivyoacha kazi zake siku kama ya leo mwaka jana na kumfuata Kajala Masanja gereza la segera kwa ajili ya kusherehekea naye siku yake ya kuzaliwa.
Kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii kajala ameandika…
"nakumbuka mwaka jana siku kama ya leo uliacha kazi zako zote ukaja segerea kuni wish happy birthday siwezikukusahau kwa ilo nakutakia bday njema mungu azidi kukupa nguvu ufike miaka mingine 10000 me penda wewe sana......."
Jana B12 alisheherekeaa siku yake ya kuzaliwa ambayo ilikuwa ni siku moja pamoja na mwigizaji Kajala Masanja