Kim Kardashian na Kanye West Jina la Mtoto wao lawekwa Wazi



0620_kanye_west_kim_kardashian_article_tmz

Ni siku 5 baada ya  Kim Kardashian na  Kanye West kumkaribisha mtoto wao wa kike , Wawili hao wamewasgaza mashabiki wao wengi kwa jina walilompa mtoto wao

Kanye West mwenyewe anataka mtot aitwe North West wakati Kim Kardashian anataka jina lingine Mbali na Hilo la North West

Inasemekana kuwa Hapo awali kim kardashian. alipokuwa na mahusiao na Danied Rumors walipanga kama wangebaatika kupata mtoto wangemuita jina la Easton West "Chanzo Kiliongea"


Hii ndiyo maneneo aliyoongea Celebrity Huyo ambaye kwa sasa ni mama

"I do like Easton, Easton West," Kim aliyasema haya katika shoo ya  Tonight  with Jay Leno at the time.

Pia inawezekana  Mama uyo Mpya  Hanaweza kubadilisha Mawazo na kumpa mtot wake jina lingine 
Previous Post Next Post

Popular Items