Bifu ya Chid Beenz na Kalapina Imekwisha! Sasa ni Amani tupu! Kukutana Leo katika Shoo ya Kikosi cha Mizinga Msasani Club!



Rapper Chidi Benz ni miongoni mwa wasanii watakaolisindikiza kundi la Kikosi cha Mizinga leo kwenye show yake ya kutimiza miaka 13 katika muziki itakayofanyika Msasani Club jijini Dar es Salaam.


Akiongea kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo, Kalapina amesema hakuna tena ugomvi kati yake ya Chidi Benz na ndio maana atakuwepo kutumbuiza kwenye show yao.
Wasanii hao waliingia kwenye ugomvi hivi karibuni kwenye ukumbi wa New Maisha Club baada ya Chidi Benz kupanda kwenye stage ya show ya Kikosi cha Mizinga hali iliyopelekea Kalapina amshushe kwa nguvu.
Bongo61 imezungumza na Chidi asubuhi ya leo kuhusu namna gani wamemaliza ugomvi wao na yeye kusema hakuwa na ugomvi wowote.
“Hatujawahi kuwa na ugomvi mimi na Pina ndo maana wewe ukiniuliza mmemaliza lazima nikuulize tumemaliza nini. Ni nyinyi waandishi na watu wa habari mliamua kuandika vitu mnavyojua nyinyi hakuna ugomvi uliotokea,” amesema Chidi.
Hata hivyo pamoja na Chidi kukanusha kuwa na ugomvi wowote na Kalapina, kumbukumbu zinaonesha kuwa ni kweli wasanii hao
Previous Post Next Post