Naweza nikasema katika top 5 ya wasanii wa Bongoflavour Tanzania, Jux ni mmoja kati ya wasanii wanaojua kuvaa na kutupia vitu vinavokwenda na fashion. Hizi ni Baadhi ya Picha ambazo nimekutana nazo kupitia instagram ni za JUx alizopiga hivi karibuni zikionyesha vitu vyake vya thamani alivyonavyoikiwa ni pamoja na dhahabu, viatu na Madola ya kutosha..zicheki picha izi hapa chini
Jux
“It’s all about my new cuban chain gold 24k I need you haters plzz dont leave me,” ameandika Jux kwenye picha hiyo.
Katika picha nyingine Jux ameonesha nguo, viatu vya brand kubwa na aghali duniani kama Versace, Gucci, Giuseppe Zanotti, Balenciaga na zingine.
Jux yupo masomoni barani Asia.