WAFANYABIASHARA 200,000 KUTUMIA KIFAA CHA KULIPIA KODI KIELEKTRONIKI





Baadhi ya wadau kutoka TRA pamoja na wafanyabihashara waliohudhuria katika Uzinduzi huo wakifuatilia kwa umakini hotuba ya Naibu Kamishna wa TRA Bw,Rished Bade.




Naibu Kamishna wa TRA Bw,Rished Bade akizungumza wakati alipokuwa anazindua kifaa cha kulipia Kodi Kielectroniki kijulikanacho kama EFD ambapo amesema kuwa wanatarajia wafanyabihashara laki mbili kuanza kutumia kifaa hicho, na ameongeza kuwa Mashine hizo zitakuwa na Betri itakayomwezeha Mfanyabihashara kutumia bila Umeme.uzinduzi huo ulifanyika kwenye hotel ya Serena jijini Dar es salaam
Previous Post Next Post