KIKWETE ATEMBELEA VIWANDA VYA BIDCO OIL NA AZAM BUGURUNI






Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mafuta yaliyowekwa virutubisho vya lishe bora wakati alipokitembelea kiwanda cha BIDCO Oil and Soap kilichopo eneo la viwanda la Mikocheni jijini Dar es Salaam




Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akongea na wafanyakazi wa kiwanda cha BIDCO Oil and Soap muda mfupi baada ya kuzindua mpango wa kuweka virutubisho bora vya lishe katika bidhaa za unga na mafuta uliofanyika jijini Dar es Salaam





Mtaalamu wa kusaga unga Bwana Patrick Muriuki(kulia) akimwongoza Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kuweka virutubisho vya lishe bora katika unga kwa kutumia teknolojia ya kisasa wakati Rais alipotembelea Kiwanda cha Azam kinachomilikiwa na S.S. Bhakressa Buguruni jijini Dar esSalaam kukagua uwekaji wa virutubisho vya bora katika bidhaa zinazozalishwa kiwandani hapo.


Rais Dkt.Jakaya kikwete akiangalia ukaguzi wa uwepo wa virutubisho vya lishe bora katika bidhaa zinazozalishwa katika kiwanda cha kuzalisha unga AZAM ukifanyika katika maabara ya kiwanda hicho Buruguruni jijini Dar es Salaam


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mafuta yaliyowekwa virutubisho vya lishe bora wakati alipokitembelea kiwanda cha BIDC Oil and Soap kilichopo eneo la viwanda la Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Previous Post Next Post

Popular Items