MSANII NEZA AWA GUMZO



Neza
Akiwa ni mwimbaji anayechipukia katika tasnia ya muziki nchini Rwanda-Kigali, mwanashosti Neza ambaye ni mzaliwa wa nchini Rwanda mwenye makazi yake nchini Canada ameibuka kwa kasi katika tasnia ya muziki haswa baada ya kuanza kuwa gumzo kupitia mitandaoni.
Msanii huyo mwenye uwezo wa kuzungumza lugha mbalimbali ikiwemo kifaransa, Lingala, Kinyarwanda na kiingereza ameelezea kuwa anafanya miondoko tofauti ambayo imemtofautisha na wasanii wa kike nchini Rwanda ikiwemo R&B, pop, dance na afro, na kupiga kazi na maprodyuuza wakali huko Toronto nchini Canada kama Emerson Brooks, Mark James, Nyasha, na Snaz.
Kwa kifupi tu hivi karibuni Neza aliwahitunukiwa tuzo ya msanii bora wa kike katika sekta ya burudani barani Africa yaani 2012 award for Best Female Artist at the African Entertainment Awards.
    Previous Post Next Post

    Popular Items