FAHAMU KUHUSU NEW CLOTH LINE YA WIZ KHALIFA


wiz khalifa
Wiz Khalifa anatarajia kuwagusa tena wale wana wote wanaofeel muziki wake pamoja pia na mambo ya mitindo/fashion, kwa kutoa clothing line mpya ambayo inafahamika kwa jina FRESHKO.
Mpango huu umesukwa na rapa Wiz Khalifa Mwenyewe pamoja na moja ya mchizi kutoka Taylor Gang Berner, na vilevile mbunifu mavazi mahiri Sketch, na mtindo huu wa mavazi utakuwa unahusisha graffiti, muziki, fashion pamoja na muonekano wa kisanii zaidi.
Mavazi ya lebo hii mpya yatatoka kesho tayari kwa wana all over the world, na hii ni njia nyingine tena ya kumuongezea rapa huyu mulla nnje ya muziki ambao anaufanya.
    Previous Post Next Post