MCHEKI SUGU AIKIWA NA MAMA WATOTO WAKE WAKIENJOY UTALII WA NDANI [PICHA]



Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, ameshare picha zinazowaonesha akiwa na mwanae pamoja na mama wa mtoto wake huyo, Faiza Ally, waliamua kupark usafiri wao pembeni ya barabara na kufurahia mandhari ya kuvutia ya Mlima Kitonga, mkoani Iringa. Tazama picha zao.

Faiza katika Pozi



Sugu akifurahia mandhari ya Kitonga

Faiza katika pozi

Faiza na mtoto wake

Sugu akiwa na Mama Watoto wake na Mtoto wao



Sugu na familia yake





Faiza




Hapa Sugu akiwa kambeba Mtoto wake
Previous Post Next Post