PICHA: UTENGENEZAJI WA TANGAZO LA TV LA SHOW YA MWANA FA "THE FINEST"




Rapper Hamis Mwinjuma aka Mwana FA leo alikuwa akishoot tangazo la TV kwaajili ya show yake ya tarehe 31 mwezi huu. Shughuli hiyo imefanyika kwenye mgahawa wa Akemi uliopo kwenye jengo la Golden Jubilee jijini Dar es Salaam. Pia Mwana FA kesho ataiachia rasmi ngoma yake iliyokuwa ikingojewa kwa hamu, Kama Zamani aliowashirikisha Wana Njenje na Man Dojo na Domo Kaya.



Mwana FA ndani ya suspender





Jamaa wa Crew

Sheria Ngowi akiwa na msaidizi wake

Mrembo atakayeonekana kwenye tangazo hilo













Previous Post Next Post