BIG BROTHER AFRICA 2013; MSHIRIKI TOKA TANZANIA NANDO AANZA MAKEKE KWA KUWA INTERESTED NA WAREMBO TOFAUTI MJENGONI



Aaaaaah Nando! Handsome Nando anaeiwakilisha Tanzania juzi (May 28) alimwomba kaka mkubwa (big brother) kuwa anahitaji wasichana wengi pembeni yake. Je! hiyo inamaanisha home boy’s game plan ni ‘beautiful chicks? Labda!! Nando ameanza kuitumia game plan yake kwa kuchill na mtoto mzuri Dillish kutoka Namibia ambao walikuwa na romantic moment katika ‘jacuzi’ huku wakiongea taratibu. Tazama video hapo ndani


Previous Post Next Post