2FACE ATANGAZA KUFANYA ZIARA VYUO VIKUU




2face
Mwanamuziki 2Face Idibia ametangaza kufanya ziara katika taasisi mbalimbali za elimu, hususan vyuo huko nchini Naijeria kwa lengo la kuwapa vijana motisha wa kuwa watu wenye manufaa kwa jamii na kuweza kujijenga kujitegemea.
2Face ameweka wazi kuwa yeye binafsi ni zao la Institute of Management Technology (IMT), cha huko Enugu Naijeria, na amekiri kuwa, katika historia yake, chuo hiki kina mchango mkubwa mkubwa sana kumfikisha alipo.

Mwanamuziki huyu ambaye amedumu katika game ya muziki kwa zaidi ya miaka 10 sasa, amesema kua, katika mashule na vyuo ndipo kunapopatikana vipaji mbalimbali, na ziara yake ni maalum kwaajili ya kukutana na kuviibua vipaji hivi.
Previous Post Next Post