RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE ASHIRIKI MAZISHI YA MDOGO WAKE DKT. BILAL HUKO ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano Dk. Jakaya Mrisho Kikwete,akitia udongo katika kaburi la Marehemu Haji Gharib Bilali, Mdogo wake Makamu wa Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Mohammed Gharib Bilal, wakati wa maziko yaliyofanyika leo jioni huko Mwera,Wilaya ya Magharibi Unguja.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal,akitia udongo katika kaburi la Mdogo wake Marehemu Haji Gharib Bilali, wakati wa maziko yaliyofanyika leo jioni huko Mwera,Wilaya ya Magharibi Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,,akitia udongo katika kaburi la Marehemu Haji Gharib Bilali, Mdogo wake Makamu wa Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Mohammed Gharib Bilal, wakati wa maziko yaliyofanyika leo jioni huko Mwera,Wilaya ya Magharibi Unguja.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dk. Jakaya Mrisho Kikwete,akitia udongo katika kaburi la Marehemu Haji Gharib Bilali, Mdogo wake Makamu wa Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Mohammed Gharib Bilal, wakati wa maziko yaliyofanyika leo jioni huko Mwera,Wilaya ya Magharibi Unguja
Previous Post Next Post