KILIO CHA MISHAHARA YA WALIMU BADO PALEPALE




Rais wa chama cha walimu Tanzania( CWT)Bw. Grtian Mukoba (kushoto).akiongea na waandishi wa habari leo makao makuu ya chama hicho jijini Dar es salaam.wakati akitoa wito kwa serikali kukubali kwa nia njema kukaa meza moja ya majadiliano na CWT kwa ajili ya mishahara ya walimu (kushoto kwake) kaimu katibu mkuu chama cha walimu Tanzania(CWT) Bw;Ezekiel Olouch


Baadhi ya waandishi wa habari walioudhuria kwenye mkutano huo wakimsikiliza kwa umakini Rais wa chama cha walimu Tanzania( CWT)Bw. Grtian Mukoba wakati akitoa wito kwa serikali



Mwalimu. Grtian Mukoba akifafanua jambo mara baada ya kumailizika kwa mkutano huo leo
Previous Post Next Post