WAZIRI MKUU MH. MIZENGO PINDA ASHIRIKI MAHAFALI YA 5 YA CHUO KIKUU CHA MTAKATIFU JOSEPH


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akimkabidhi zawadi mwanachuo bora wa taluma ya Electronics Communication Engenering , Amanda Chitemo (kushoto) katika Mahafali  ya tano ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph, jijini Dar es salaam  Februari 2, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpongeza, Edith Tomas ambaye alitunukiwa Shahada ya Computer Science and Engenering  katika mahafali ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph yaliyofanyika jijini Dar es salaam Machi 2, 2012. (Picha na Ofisi ya Wazir Mkuu).

Previous Post Next Post