Haya ndiyo aliyosema Diamond Platnumz juu ya wanotumia picha zake kwenye biashara ya T-shirts na Salon

Hit maker wa My Number One, Diamond Platinumz amesema anajisikia furaha kuona vijana wakijitafutia riziki kwa kuuza T-shirts zenye picha yake.

Endelea kupata Habari Zaidi Kila siku Kutoka BONGO61.COM  Kwa Kijiunga Hapa Buree!.




“Kuwekwa tu pale kwangu mimi nimefurahi, nisiwe mnafiki. Siwezi kusema nimesikia uchungu eti kwa nini ametumia sura yangu. Yaani nimefurahi kwa sababu ninaona kama taifa limeni-appreciate kazi yangu na mtu katengeneza t-shirts na kauza imeuzika kweli kwa sababu inaweza kuwekwa bwana ‘Salam’ isiuzike (kicheko)…mimi kwangu ni rukhsa” Diamond amefunguka katika kipindi cha The Jump Off cha 100.5 Times Fm.

Endelea kupata Habari Zaidi Kila siku Kutoka BONGO61.COM  Kwa Kijiunga Hapa Buree!.

Diamond pia amewaruhusu pia watu wenye salon kutumia picha zake.

Hata hivyo, ametahadharisha kutotumia brand ya ‘Wasafi Classic’ kwa sababu hiyo ni brand yake. “Labda mtu atumie ‘Wasafi’, hapo tatizo lingine.”


Source:Times Fm
Previous Post Next Post

Popular Items