Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi wa Biashara na Maendeleo wa Irelanda, Bwa. Joe Costello, ofisini kwake jijini Dar es salaam March 13, 2012.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Mhongo (kulia) na Waziri wa Kilimo na Chakula, Mhandisi Chrstopher Chiza Wakishiriki katika mjadala kuhusu maendeleo ya LABS ya kilimo yaaani mabara ya kufanya utafiti wa matatizo yanayoikabili sekta ya kilimo nchini na ufumbuzi wake kwenye hoteli ya Whitesands jijini Dar essalaam Machi 13, 2013.