MASHINDANO YA MAWASILIANO YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA “INFOMATRIX AFRICA” YAZINDULIWA RASMI”



 

DSC_0869
Mkurugenzi wa Tume ya Sayansi na Teknologia Dr. Hassan Mshinda
akikata utepe kuashiria ufunguzi wa mashindano ya “INFOMATRIX AFRICA”
yanayoshirikisha nchi zaidi ya 17, kulia kwake ni  Mkurugenzi mkuu wa shule
za Feza Ibrahim Bicaku na kushoto kwake ni Balozi wa Uturuki nchini Tanzania
Balozi Ali Davudoglu.
DSC_0877Baadhi ya walimu wakijadiliana jambo kuhusu maksi za washiriki wa
moja ya shindano katika hafla ya uzinduzi wa Infomatrix Africa DSC_0893Mkurugenzi wa Tume ya Sayansi na Teknologia Dr. Hassan Mshinda
akiangalia na kupata maelekezo ya ubunifu wa kiteknologia kutoka kwa moja ya
washiriki wa “Infomatrix Africa” yaliyoandaliwa na shule za Feza. DSC_0921

Mtoto Halid Yildirin(10)kutoka nchini Uturuki akionesha kifaa
alichokibuni chenye uwezo wa kugundua na kuhamisha mabomu kutoka sehemu moja
kwenda sehemu nyingine katika ufunguzi wa “Infomatrix Africa” yaliyofanyika
jijini Dar es salaam
Previous Post Next Post