MSHINDI WA TIGO SMART CARD PROMOTION JULIUS KANZA AREJEA NCHINI SALAMA


Mshindi wa Tigo smart card promotion Bw.Julius Kanza akiwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius K Nyerere akitokea Hispania alikoenda kushuhudia mechi kati ya Real Madrid na Fc Barcelona iliyopigwa mwishoni mwa wiki iliyopita safari hiyo iligharamiwa na kampuni ya simu za mkononi Tigo.
Mshindi wa Tigo smart card promotion Bw.Julius Kanza akionyesha jezi ya kiungo wa Real Madrid Cristiano Ronaldo kwa waandishi wa habari aliyonunua nchini Hispania baada ya kushuhudia mechi kati ya Real Madrid na FC Barcelona akiwa ni shabiki mkubwa wa kiungo huyo.

Previous Post Next Post