KWA WALE AMBAO MNASUBIRIA KWA HAMU KIOO CHA 'JOTO HASIRA' YA LADY JAY DEE





Ni picha tu ambazo zinakupa mtazamo wa video hii itakuwaje, Director ni Adam Juma.... Mambo yote yatakuwa ni Ijumaa .. yaani kesho to be specific (oficial premiere)... cheki hii;
Sikiliza Joto Hasira hapa; 
http://www.reverbnation.com/ladyjaydee/song/16481630-joto-hasira-feat-prof-jayhttp://www.reverbnation.com/ladyjaydee/song/16481630-joto-hasira-feat-prof-jay
Previous Post Next Post