MWENDESHA PIKIPIKI AGONGWA NA GARI ZANZIBAR


DSC06973
Vespa yenye namba za usajili Z728 CB,iliokuwa ikiendeshwa na Muhidini Ali Ame mkaazi wa Nyerere ikiwa imepondana baada ya kupata ajali ya kugongana na Gari aina ya Toyota ya Nungwi katika Barabara ya Amani Daraja bovu Zanzibar. 

DSC06978
Gari aina ya Toyota inayofanya safari zake Mjini Nungwi ikiwa imepondana sehemu ya mbele baada ya kupata ajali ya kugongana na Vespayenye namba za usajili Z728 CB,iliokuwa ikiendeshwa na Muhidini Ali Ame mkaazi wa Nyerere Zanzibar.
DSC06980Kijana Muhidini Ali Ame akiwa amelazwa katika Hospitali kuu ya Mnazi mmoja  akiwa ameumia sehemu za Kichwa,mkono na baadhi ya sehemu za mwili baada kupata ajali ya Kugongana na Gari aina ya Toyota ya Nungwi akiwa amepanda Vespa katika Barabara ya Amani daraja Bovu Zanzibar.

Previous Post Next Post