YALIYOJIR BUNGENI DODOMA: I BUNGE LAAHIRISHWA BAADA YA WAPINZANI KUGOMA
byNews Tanzania-
0
Wabunge wa upinzani wakiwa wamesimama kupinga uonevu wa naibu spika dhidi ya hoja ya iliyowakilishwa na Mnyika hapo bungeni jana.walikataa kuendelea na bunge hadi Bunge lilipoairishwa hadi leo asubuhi.