Rapper na Program director wa Ebony Fm ya Iringa, Anselm Tryphone Ngaiza aka Soggy The Entertainer amekuwa baba kwa mara ya pili baada ya mpenzi wake kujifungua mtoto wa kike.
Soggy ambaye mtoto wake wa kwanza ni msichana pia (kwenye picha juu), ameshare furaha yake na marafiki kupitia facebook kwa kupost picha na kuandika:
Picha hapa chini inamuonyesha Soggy akiwa na mtoto wake wa kwanza
Mtoto wa Soggy Abigail
‘Jana usiku saa tatu ((February 7) Mungu amebariki ukoo wetu kwa kunipa mtoto wa pili wa kike….Anaitwa Abigail na namshukuru zaidi mpenzi wangu Leah Choma for everything’
‘Jana usiku saa tatu ((February 7) Mungu amebariki ukoo wetu kwa kunipa mtoto wa pili wa kike….Anaitwa Abigail na namshukuru zaidi mpenzi wangu Leah Choma for everything’
Hongera Soggy Dogy kwa Kupata mtoto mwingine......Bongo61 Inakutakia kila la Kheri