Martin Kadinda amkumbuka Jack Patrick

Mwanamitindo maarufu Bongo, Martin Kadinda ameonesha hisia zake hadharani baada ya kutupia picha ya rafiki yake kipenzi, modo Jack Patrick mtandaoni na kuonesha kuwa amemkumbuka.

Jack Patrick na Martin Kadinda

Jack alikamatwa nchini China akidaiwa alikuwa amebeba madawa ya kulevya ambapo kabla hajaondoka, walikuwa wakishirikiana kikazi na mwanamitindo huyo ambaye amemwambia mwandishi wetu kuwa waliishi kama ndugu.

Jack Patrick

“Jack Patrick alikuwa zaidi ya rafiki, tuliishi vizuri, tumekula good time pamoja na mambo mengine
 mengi, sitaki kuongelea ishu yake iliyompata lakini kimsingi namkumbuka sana,” alisema Kadinda.


Source:Globalnews


Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa