WAZIRI WA HABARI,VIAJA NA UTAMADUNI AFUNGUA HOTUBA KWA MAOFISA WA HABARI
byNews Tanzania-
0
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo , Dr. Fenella Mkangara, jana alifungua rasmi kikao cha Mipango Kazi kwa Maofisa wa Habari wa Serikali wa nchi nzima kinachofanyika Dodoma.