Katibu wa Mambo ya Nje wa Taasisi ya Royal Society ya Uingereza Profesa Martyn Poliakoff akikabidhiwa tuzo ya heshima na Rais wa Tanzania Academy of Sciences(TAAS)Profesa Esther Mwaikambo kwenye mkutano wa kuanzishwa ushirikiano wa wanasayansi wa nchini uliofanyika jana Makao makuu ya Kituo cha Sayansi Kijitonyama jijini Dar es salaam na kuhudhuriawa na wanasayansi kutoka vyuo na Taasisi mbalimbali za nchini Tanzania.
Mgeni Rasmi, ambaye ndiye Muasisi wa TAAS na pia ni mjumbe wa TAAS prof, Mathhew Luhanga akimkabidhi cheti mmoja wa Watafiti wa Sayansi.
Katibu wa Royol Society iliyopo London Prof Martin Poliakoff akiwa kwenye picha ya pamoja na wanasayansi baada ya kumalizika kwa mkutano huo.
Rais wa Tanzania Academy of Science (TAAS) Prof,Esther Mwaikambo, akizungumza katika Hafla ya kuwatunuku watafiti wa Sayansi jana katika ukumbi wa COSTECH uliopo jijini Dar es Salaam.