KATIBU MKUU , AFUNGUA MKUTANO MKUU SACCOS YAJESHI LA MAGEREZA

gereza2 3921d
Baadhi ya wajumbe wa TPS Saccos wakifurahia jambo wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil alipokuwa anatoa hotuba yake ya ufunguzi wa
makutano huo.

gereza2 3921d
Katibu Mkuu, Mbarak Abdulwakil akipokea shairi alilolisoma Mtunzi wa Mashairi katika Jeshi
la Magereza, Rashid Mtimbe (kushoto).gereza4 f2e4d
Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali, John Minja akitoa hotuba fupi ya
kumkaribisha mgeni rasmi Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak
Abdulwakil.
gereza5 74214
gereza 020dc
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil akitoa hotuba yake
ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa pili wa TPS Saccos unaofanyika katika Hotel ya
Edema, mjini Morogoro.
PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
Previous Post Next Post