MAMA SALMA KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 36 YA CCM MKOANI LINDI
byNews Tanzania-
0
Mama Salma Kikwete aliyekuwa mgeni rasmi katika sherehe za kutimiza miaka 36 ya CCM Mkoani Lindi akijumuika na wacheza ngoma ya Linyamwa kucheza ngoma hiyo. Sherehe hizo zilifanyika katika kijiji cha Rondo huko Lindi vijijini tarehe 5.2.2013.