DK. SHEIN AKUTANA NA WAZIRI WA ELIMU OMAN NA MKURUGENZI WA UNESCO

IMG_8057
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akisalimiana na Dk.Rawya Saud Al Busaid,Waziri wa Elimu ya Juu wa Nchini Oman,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana .[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_8090
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,(kulia) akizungumza na  Waziri wa Elimu ya Juu wa Nchini Oman,Dk.Rawya Saud Al Busaid,alipofika
Ikulu Mjini Zanzibar jana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_8206
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi wa
Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Elimu,Sayansi  na
Utamaduni (UNESCO) Irina Bokovas,akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu
Mjini Zanzibar leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_8222
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
DK.Ali Mohamed Shein,(kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la
Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Elimu,Sayansi  na Utamaduni (UNESCO)
Irina Bokovas,akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Mjini Zanzibar
leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_8228
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
DK.Ali Mohamed Shein,(kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la
Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Elimu,Sayansi  na Utamaduni (UNESCO)
Irina Bokovas,pamoja   na ujumbe aliofuatana nao  walipofika Ikulu
Mjini Zanzibar leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Previous Post Next Post