Mgane na watoto wa marehemu Vicky Macha wakiweka mashada ya maua kaburini. Mgane na mama wa marehemuGrace Macha, mdogo wa marehemuFrank Leonard, Katibu wa IPC akijiandaa kuweka shada la maua kaburiniWanahabari wa Iringa na Kilimanjaro wakiwasha mishumaa katika kaburi la Vicky