TID amchana Diamond: Leta tuzo nyumbani, achana na mafala!

TID ameamua kufunguka na kuonyesha ni kwa kiasi gani anakubali kile anachokifanya Diamond Platnumz katika tasnia ya Muziki hapa Bongo.



Kupitia Mtandao wa Instagram TID alifunguka haya ,  Akipost kwenye Instagram picha ya Diamond ya kuhimiza apigiwa kura za AFRIMA, TID ameandika:

“Leta mzigo home achana na mafala, u got my Back.”

Je Swali la kujiuliza mafa*la ho  ni akina nani?
Previous Post Next Post

Popular Items