Stori Kali: Wiz Khalifa aeleza sababu za kuacha kuvuta bangi

Rapper Wiz Khalifa hivi karibuni alifanyiwa Interview na kuzungumzia kubadilisha mtazamo wa mashabiki na watu ju yake, Wiz anasemaana mpango wa kubadilisha muonekano wake ili uwe na mzuto wa kibiashara zaidi.




Wiz anasema “Sitaki tena watu wahusishe muziki wangu na marijuana” kama unakumbuka mixtape za kwanza za Wiz Khalifa kama ya mwaka 2010 Kush & Orange Juice.



Wiz anaendelea kusema “sipendi kuitwa kichwa cha bangi “weed head” na nataka nifanye kazi bila kuandamwa na mtazamo huo wa kibangi bangi. Waigizaji wakubwa kwenye filamu hawana muonekano wa kibangi bangi sasa kwanini mimi niendekeze hii tabia, nitaacha kuimba kuhusu bangi na mpango wa kuacha kuvuta kabisa, Inaharibu muonekano wangu na mtazamo wa kazi zangu kwa watu”
Previous Post Next Post

Popular Items