Said Fela autaka uenyekiti wa serikali za mtaa

Said Fela ambaye ni Mkurugenzi wa Yamoto Band na Wanaume Family,anawania uenyekiti wa serikali za katika mtaa wa Kirungure, wilayani Temeke kupitia CCM.




“Leo wadau naomba dua zenu nagombea serikali ya mtaa uku kwetu kirungule na nipo na mgombea mwenzangu ndio tunagombania hiki kiti apate yeye au nibebe Mimi inshaallah,” ameandika Fela kwenye Instagram.
Previous Post Next Post

Popular Items