Picha: Ujauzito wa Mchumba wake Ney wa Mitego wafikia hapa

Wazungu wanasema She is heavily pregnant Nay wa Mitego ameshare picha ya mchumba wake mjamzito, Siwema. Mimba yake imekua haswaaa kiasi cha mrembo huyo kunenepa.



Na Waswahili wanasema ujauzito huo umempenda maana anazidi kupendeza na kunenepa


Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa