Picha: Style za kunyoa zenye picha za watu maarufu Duniani

Tazama picha hapa chini zikionyesha mitindo ya kunyoa yeye picha za watu maarufu duniani

Mcheza kikapu wa Ufaransa Tony Parker.


Mcheza sinema wa kike maarufu aliyewahi kutokea Marekani Marilyn Monroe, alifariki 1972.
Breaking Bad.

Bondia Floyd Mayweather.

Bruce Lee.

Gwiji wa rege, Bob Marley.

Nelson Mandela a.k.a Tata Madiba.

Mtayarishaji maarufu wa muziki Marekani, na aliyekuwa mmiliki wa Beats by Dre, Dr Dre.

Hayati Tupac, gwiji wa muziki wa rap, alifariki mwaka 1996.
Previous Post Next Post