Picha: Polisi wa Oyster Bay Wamuhoji Diamond Platnumz na dancers wake kwa masaa, Chief kiumbe afika kumtoa!

Super Star wa Bongo Diamond Platnumz pamoja na dancers wake, wamehojiwa kwa masaa kadhaa kwenye kituo cha polisi cha Oyster Bay jijini Dar es Salaam baada ya kuitwa kwenda kujieleza kutokana na kuvaa sare za jeshi la wananchi Tanzania, JWTZ, kwenye show ya Fiesta, kinyume cha sheria.


Diamond na Chief Kiumbe wakiteta jambo

Hata hivyo Diamond aliiambia tovuti ya Bongo5 waliofika katika eneo la tukio 'kituoni hapo' kwa kutaka kujua zaidi  Diamond alisema kuwa hakuwa tayari kuzungumzia kile walichokuwa wakihojiwa na polisi. Awali kulikuwa na taarifa kuwa meneja wake, Babu Tale alishikiliwa katika kituo hicho kuanzia jana kabla ya kutoka Jumatano hii.

Tazama picha zaidi hapa....






Diamond Akiondoka katika eneo la tukio


Photo Credit:Bongo5
Previous Post Next Post

Popular Items