Homeali Kiba Music: Mwana FA f/ Alikiba – Kiboko Yangu byNews Tanzania -Thursday, October 23, 2014 0 Chukua muda wako wa kuweza kuusikiliza wimbo mpya kutoka kwa Mwana Fa aliomshirikisha Hit Maker wa Mwana 'Ali kiba' wimbo unaitwa 'Kiboko Yangu' umefanyika katika Studio za Mj Records producer ni Marco Challi Usikilize na kuudownload hapa... Tags: ali Kiba Music Mwana FA News Facebook Twitter